1 Wakorintho 4:16 - Swahili Revised Union Version Basi, nawasihi mnifuate mimi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo, nawasihi: Fuateni mfano wangu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo, nawasihi: Fuateni mfano wangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo, nawasihi: fuateni mfano wangu. Neno: Bibilia Takatifu Basi nawasihi igeni mfano wangu. Neno: Maandiko Matakatifu Basi nawasihi igeni mfano wangu. BIBLIA KISWAHILI Basi, nawasihi mnifuate mimi. |
Mambo mliyojifunza kwangu na kuyapokea, na kuyasikia na kuyaona kwangu, yatendeni hayo; na Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.
Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu.
Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.
Wala si kama wajifanyao mabwana wa wale walio chini ya utunzaji wao, bali iweni mifano kwa lile kundi.