Basi nisipoijua maana ya ile sauti nitakuwa kama mjinga kwake yeye anenaye; naye anenaye atakuwa mjinga kwangu.
1 Wakorintho 14:10 - Swahili Revised Union Version Hakika ziko sauti za namna nyingi duniani, wala hakuna moja isiyo na maana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana. Biblia Habari Njema - BHND Zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana. Neno: Bibilia Takatifu Bila shaka ziko sauti nyingi ulimwenguni, wala hakuna isiyo na maana. Neno: Maandiko Matakatifu Bila shaka ziko sauti nyingi ulimwenguni, wala hakuna isiyo na maana. BIBLIA KISWAHILI Hakika ziko sauti za namna nyingi duniani, wala hakuna moja isiyo na maana. |
Basi nisipoijua maana ya ile sauti nitakuwa kama mjinga kwake yeye anenaye; naye anenaye atakuwa mjinga kwangu.
Vivyo hivyo na ninyi, msipotoa kwa ulimi neno lililo dhahiri, neno lile linenwalo litajulikanaje? Maana mtakuwa mkinena hewani tu.