1 Wafalme 4:2 - Swahili Revised Union Version Na hawa ndio wakuu aliokuwa nao; Azaria mwana wa Sadoki, kuhani, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na wafuatao walikuwa baadhi ya maofisa wake wa vyeo vya juu: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa kuhani. Biblia Habari Njema - BHND na wafuatao walikuwa baadhi ya maofisa wake wa vyeo vya juu: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa kuhani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na wafuatao walikuwa baadhi ya maofisa wake wa vyeo vya juu: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa kuhani. Neno: Bibilia Takatifu Hawa walikuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki; Neno: Maandiko Matakatifu Hawa ndio waliokuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki; BIBLIA KISWAHILI Na hawa ndio wakuu aliokuwa nao; Azaria mwana wa Sadoki, kuhani, |
Zaidi ya hayo utajipatia katika watu hawa watu walio na uwezo, wenye kumcha Mungu, watu wa kweli, wenye kuchukia mapato ya udhalimu; ukawaweka juu yao, wawe wakuu wa maelfu, na wakuu wa mamia, na wakuu wa hamsini hamsini, na wakuu wa kumi kumi;
Na Mungu ameweka wengine katika kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, aina za usaidizi, maongozi na aina za lugha.