Na Ben-hadadi akamwambia, Miji ile baba yangu aliyomnyang'anya baba yako nitairudisha; nawe utajifanyia njia huko Dameski, kama baba yangu aliyoifanya huko Samaria. Ahabu akasema, Nami nitakuacha kwa mapatano haya. Akafanya mapatano naye, akamwacha.
1 Wafalme 22:1 - Swahili Revised Union Version Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya Shamu na Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa na amani kati ya Israeli na Aramu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa na amani kati ya Israeli na Aramu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa na amani kati ya Israeli na Aramu. Neno: Bibilia Takatifu Kwa miaka mitatu hapakuwa na vita kati ya Aramu na Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa miaka mitatu hapakuwa na vita kati ya Aramu na Israeli. BIBLIA KISWAHILI Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya Shamu na Israeli. |
Na Ben-hadadi akamwambia, Miji ile baba yangu aliyomnyang'anya baba yako nitairudisha; nawe utajifanyia njia huko Dameski, kama baba yangu aliyoifanya huko Samaria. Ahabu akasema, Nami nitakuacha kwa mapatano haya. Akafanya mapatano naye, akamwacha.
Huoni jinsi Ahabu alivyojidhili mbele yangu? Basi kwa sababu amejidhili mbele yangu, sitayaleta yale mabaya katika siku zake; ila katika siku za mwanawe nitayaleta mabaya hayo juu ya nyumba yake.
Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.
Basi, Yehoshafati alikuwa na mali na heshima tele, tena alifanya maridhiano ya ndoa na Ahabu.