Wale wazee wa mji wake, na walio wenye nguvu waliokaa mjini mwake, wakafanya kama Yezebeli alivyowaagiza, kama ilivyoandikwa katika nyaraka alizowapelekea.
1 Wafalme 21:12 - Swahili Revised Union Version Wakapiga mbiu ya watu kufunga, wakamweka Nabothi juu mbele ya watu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu. Biblia Habari Njema - BHND wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakapiga mbiu ya mfungo, wakakutana na kumweka Nabothi mahali pa heshima kati ya watu. Neno: Bibilia Takatifu Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mbele ya watu. Neno: Maandiko Matakatifu Wakatangaza mfungo na kumketisha Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu. BIBLIA KISWAHILI Wakapiga mbiu ya watu kufunga, wakamweka Nabothi juu mbele ya watu. |
Wale wazee wa mji wake, na walio wenye nguvu waliokaa mjini mwake, wakafanya kama Yezebeli alivyowaagiza, kama ilivyoandikwa katika nyaraka alizowapelekea.
Tazama, ninyi mnafunga ili mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uovu. Kufunga kama huku kwa siku ya leo hakutafanya sauti zenu zisikike juu.