Abrahamu akapaita mahali hapo Yehova-yire, kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.
1 Wafalme 17:8 - Swahili Revised Union Version Neno la BWANA likamjia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu, lilimjia Elia: Biblia Habari Njema - BHND Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu, lilimjia Elia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu, lilimjia Elia: Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Ilya, kusema, Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana likamjia, kusema, BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likamjia, kusema, |
Abrahamu akapaita mahali hapo Yehova-yire, kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.
Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakatika, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi.
Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko. Tazama, nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe.
Maskini na wahitaji wanatafuta maji, wala hapana; ndimi zao zimekauka kwa kiu; mimi, BWANA, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha.