Ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, ni nini hawa? Basi yule malaika aliyesema nami akaniambia, Nitakuonesha ni nini hawa.
Zekaria 6:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nikajibu, nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Hawa ni nini, Bwana wangu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?” Biblia Habari Njema - BHND Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?” Neno: Bibilia Takatifu Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani, bwana wangu?” Neno: Maandiko Matakatifu Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani bwana wangu?” BIBLIA KISWAHILI Nikajibu, nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Hawa ni nini, Bwana wangu? |
Ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, ni nini hawa? Basi yule malaika aliyesema nami akaniambia, Nitakuonesha ni nini hawa.
Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini?