Na kwa mara ya pili, nikamwuliza, Ni nini haya matawi mawili ya mizeituni, ambayo kwa njia ya ile mifereji miwili ya dhahabu hutoa mafuta yao?
Zekaria 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akanijibu, akasema, Hujui hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!” Biblia Habari Njema - BHND Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akaniambia, “Je, hujui?” Nami nikamjibu, “La, sijui Bwana!” Neno: Bibilia Takatifu Akajibu, “Hujui kuwa haya ni nini?” Nikamjibu, “Hapana, bwana wangu.” Neno: Maandiko Matakatifu Akajibu, “Hujui kuwa haya ni nini?” Nikamjibu, “Hapana, bwana wangu.” BIBLIA KISWAHILI Akanijibu, akasema, Hujui hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu. |
Na kwa mara ya pili, nikamwuliza, Ni nini haya matawi mawili ya mizeituni, ambayo kwa njia ya ile mifereji miwili ya dhahabu hutoa mafuta yao?
Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini?
Ndipo malaika aliyesema nami akajibu, akaniambia, Hujui vitu hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu.