Zaburi 96:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Mwimbieni BWANA, nchi yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote! Biblia Habari Njema - BHND Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote! Neno: Bibilia Takatifu Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya; mwimbieni Mwenyezi Mungu dunia yote. Neno: Maandiko Matakatifu Mwimbieni bwana wimbo mpya; mwimbieni bwana dunia yote. BIBLIA KISWAHILI Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Mwimbieni BWANA, nchi yote. |
Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kulia, Na mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
na kuimba wimbo mpya mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele ya wale wenye uhai wanne, na wale wazee; wala hakuna mtu aliyeweza kujifunza wimbo ule, ila wale elfu mia moja na arubaini na nne, walionunuliwa katika nchi.
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuifungua mihuri yake; kwa kuwa ulichinjwa, ukawa fidia kwa Mungu na kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,