Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.
Zaburi 92:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bali Wewe, BWANA, U Mtukufu hata milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema bali wewe, ee Mwenyezi-Mungu, u mkuu milele. Biblia Habari Njema - BHND bali wewe, ee Mwenyezi-Mungu, u mkuu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza bali wewe, ee Mwenyezi-Mungu, u mkuu milele. Neno: Bibilia Takatifu Bali wewe, Ee Mwenyezi Mungu, utatukuzwa milele. Neno: Maandiko Matakatifu Bali wewe, Ee bwana, utatukuzwa milele. BIBLIA KISWAHILI Bali Wewe, BWANA, U Mtukufu hata milele. |
Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.
Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, Ndiwe peke yako Uliye Juu, juu ya nchi yote.
Kupita sauti ya maji mengi, maji makuu, Kupita mawimbi ya bahari yaumkayo, BWANA Aliye Juu ndiye mwenye ukuu.
Sasa najua ya kuwa BWANA ni mkuu kuliko miungu yote; naam, katika jambo hilo walilowatenda kwa ujeuri.
Ujapokuwa unaona maskini kuonewa, na hukumu na haki kuondolewa kwa jeuri katika jimbo, usilistaajabie jambo hilo; kwa sababu, Aliye Juu kuliko walio juu huangalia; Tena wako walio juu kupita hao.
Karibu wakati ule ule, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.