Zaburi 92:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na jicho langu limeona kuanguka kwa adui zangu, Sikio langu limesikia maangamizi ya waovu walionishambulia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa macho nimeona maadui zangu wameshindwa; nimesikia kilio chao watendao maovu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa macho nimeona maadui zangu wameshindwa; nimesikia kilio chao watendao maovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa macho nimeona maadui zangu wameshindwa; nimesikia kilio chao watendao maovu. Neno: Bibilia Takatifu Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu. Neno: Maandiko Matakatifu Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu. BIBLIA KISWAHILI Na jicho langu limeona kuanguka kwa adui zangu, Sikio langu limesikia maangamizi ya waovu walionishambulia. |
Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Wewe umngoje BWANA, Uishike njia yake, Naye atakutukuza uirithi nchi, Utawaona Wasio haki wakiangamizwa.
Kwa kuwa limeniokoa na kila taabu; Na jicho langu limeridhika Kwa kuwatazama adui zangu.
Mungu wa fadhili zangu atanitangulia, Mungu atanijalia kutazama kwa ushindi juu ya adui zangu.