Zaburi 9:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bali BWANA atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. Neno: Maandiko Matakatifu bwana anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. BIBLIA KISWAHILI Bali BWANA atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu. |
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.