Lakini ukitaka kwenda, haya, jitie nguvu upigane; Mungu atakuangusha mbele ya adui; maana Mungu anazo nguvu za kusaidia, na kuangusha.
Zaburi 89:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Pia umeurudisha nyuma ukali wa upanga wake; Wala hukumsimamisha vitani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani. Biblia Habari Njema - BHND Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani. Neno: Bibilia Takatifu Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita. Neno: Maandiko Matakatifu Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita. BIBLIA KISWAHILI Pia umeurudisha nyuma ukali wa upanga wake; Wala hukumsimamisha vitani. |
Lakini ukitaka kwenda, haya, jitie nguvu upigane; Mungu atakuangusha mbele ya adui; maana Mungu anazo nguvu za kusaidia, na kuangusha.
BWANA ameyatenda aliyoyakusudia; amelitimiza neno lake, Aliloliamuru siku za kale; Ameangusha hata chini, Wala hakuona huruma; Naye amemfurahisha adui juu yako, Ameitukuza pembe ya watesi wako.
Ndipo Mwamaleki, na Mkanaani waliokaa huko mlimani, wakateremka, wakawapiga na kuwaangusha, hadi wakafika Horma.