Hata na zamani zile hakukuwa na amani kwake atokaye, wala kwake aingiaye, ila fadhaa kubwa juu yao wote wakaao katika nchi.
Zaburi 89:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Umeyabomoa maboma yake yote, Umezifanya ngome zake kuwa magofu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuta zote za mji wake umezibomoa; ngome zake umezivunjavunja. Biblia Habari Njema - BHND Kuta zote za mji wake umezibomoa; ngome zake umezivunjavunja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuta zote za mji wake umezibomoa; ngome zake umezivunjavunja. Neno: Bibilia Takatifu Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. Neno: Maandiko Matakatifu Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. BIBLIA KISWAHILI Umeyabomoa maboma yake yote, Umezifanya ngome zake kuwa magofu. |
Hata na zamani zile hakukuwa na amani kwake atokaye, wala kwake aingiaye, ila fadhaa kubwa juu yao wote wakaao katika nchi.
Wewe hukumzingira kwa ukigo pande zote, pamoja na nyumba yake, na vitu vyote alivyo navyo? Kazi za mikono yake umezibarikia, nayo mali yake imeongezeka katika nchi.
Bwana ameyameza makao yote ya Yakobo, Wala hakuona huruma; Ameziangusha ngome za binti Yuda Katika ghadhabu yake; Amezibomoa hata nchi Ameunajisi ufalme na wakuu wake.
Bwana amekuwa mfano wa adui, Amemmeza Israeli; Ameyameza majumba yake yote, Ameziharibu ngome zake; Tena amemzidishia binti Yuda Matanga na maombolezo.
Nami nitamwaga ghadhabu yangu juu yako; nitakupulizia moto wa hasira yangu; nami nitakutia katika mikono ya watu walio kama hayawani, wajuao sana kuangamiza.