Sulemani akatawala juu ya falme zote, toka Mto mpaka nchi ya Wafilisti, na hata mpaka wa Misri; walimletea tunu, na kumtumikia Sulemani siku zote za maisha yake.
Zaburi 89:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nitaweka mkono wake juu ya bahari, Na mkono wake wa kulia juu ya mito. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito. Biblia Habari Njema - BHND Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nitaimarisha nguvu na utawala wake, toka bahari hata mito. Neno: Bibilia Takatifu Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. Neno: Maandiko Matakatifu Nitauweka mkono wake juu ya bahari, mkono wake wa kuume juu ya mito. BIBLIA KISWAHILI Nitaweka mkono wake juu ya bahari, Na mkono wake wa kuume juu ya mito. |
Sulemani akatawala juu ya falme zote, toka Mto mpaka nchi ya Wafilisti, na hata mpaka wa Misri; walimletea tunu, na kumtumikia Sulemani siku zote za maisha yake.
Malaika wa saba akapiga baragumu, pakawa na sauti kuu katika mbingu, zikisema, Ufalme wa dunia umekwisha kuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, naye atamiliki hata milele na milele.
Washindanao na BWANA watapondwa kabisa; Toka mbinguni yeye atawapigia radi; BWANA ataihukumu dunia yote; Naye atampa mfalme wake nguvu, Na kuitukuza pembe ya masihi wake.