Basi kulikuwa na vita siku nyingi kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi; Daudi akaendelea akasitawi, lakini nyumba ya Sauli ikaendelea kudhoofika.
Zaburi 89:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bali nitawaponda watesi wake mbele yake, Nitawapiga wanaomchukia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi nitawaponda wapinzani wake; nitawaangamiza wote wanaomchukia. Biblia Habari Njema - BHND Mimi nitawaponda wapinzani wake; nitawaangamiza wote wanaomchukia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi nitawaponda wapinzani wake; nitawaangamiza wote wanaomchukia. Neno: Bibilia Takatifu Nitawaponda adui zake mbele zake na kuwaangamiza watesi wake. Neno: Maandiko Matakatifu Nitawaponda adui zake mbele zake na kuwaangamiza watesi wake. BIBLIA KISWAHILI Bali nitawaponda watesi wake mbele yake, Nitawapiga wanaomchukia. |
Basi kulikuwa na vita siku nyingi kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi; Daudi akaendelea akasitawi, lakini nyumba ya Sauli ikaendelea kudhoofika.
Ikawa, mfalme alipokuwa akikaa katika nyumba yake, hapo BWANA alipomstarehesha, asiudhiwe na adui zake waliomzunguka pande zote,
nami nimekuwa pamoja nawe kila ulikokwenda, na kuwakatilia mbali adui zako wote mbele yako; nami nitakufanyia jina kuu, kama jina la wakuu walioko duniani.
Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.