Tena nitawaagizia mahali watu wangu Israeli, nami nitawapanda, wapate kukaa mahali pao wenyewe, wasiondolewe tena; wala wana wa uovu hawatawatesa tena, kama hapo kwanza;
Zaburi 89:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Adui hatamwonea, Wala mwana wa uovu hatamtesa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa. Biblia Habari Njema - BHND Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maadui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamnyanyasa. Neno: Bibilia Takatifu Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemtesa. Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea. BIBLIA KISWAHILI Adui hatamwonea, Wala mwana wa uovu hatamtesa. |
Tena nitawaagizia mahali watu wangu Israeli, nami nitawapanda, wapate kukaa mahali pao wenyewe, wasiondolewe tena; wala wana wa uovu hawatawatesa tena, kama hapo kwanza;
Tena nitawaagizia watu wangu Israeli mahali, nami nitawapanda, wapate kukaa mahali pao wenyewe, wasiondolewe tena; wala wana wa uovu hawatawatesa tena kama hapo kwanza,
Nilipokuwapo pamoja nao, mimi niliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu;