Ikiwa mtu amemkosa mwenzake, na kupewa sharti ya kiapo aapishwe, naye akija na kuapa hapa mbele ya madhabahu yako, katika nyumba hii;
Zaburi 88:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maombi yangu yafike mbele zako, Ukitegee kilio changu sikio lako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu. Biblia Habari Njema - BHND Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu. Neno: Bibilia Takatifu Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. Neno: Maandiko Matakatifu Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. BIBLIA KISWAHILI Maombi yangu yafike mbele zako, Ukitegee kilio changu sikio lako. |
Ikiwa mtu amemkosa mwenzake, na kupewa sharti ya kiapo aapishwe, naye akija na kuapa hapa mbele ya madhabahu yako, katika nyumba hii;
Naamka kabla ya mapambazuko na kukuomba msaada, Naweka tumaini langu katika maneno yako.
Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Ngome thabiti ya kuniokoa.
Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi waliohukumiwa kufa.