Zaburi 88:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu. Biblia Habari Njema - BHND Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umewafanya rafiki na wenzangu wote waniepe; giza ndilo limekuwa mwenzangu. Neno: Bibilia Takatifu Umeniondolea rafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa rafiki yangu wa karibu kuliko wote. Neno: Maandiko Matakatifu Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote. BIBLIA KISWAHILI Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani. |
Kwa sababu ya watesi wangu nimelaumiwa, Naam, hasa kwa jirani zangu; Na kitu cha kutisha kwa rafiki zangu; Wanaoniona njiani wananikimbia.
Wanipendao na rafiki zangu wanasimama mbali na pigo langu; Na jamaa zangu wanasimama mbali.