Zaburi 88:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yamenizunguka kama mafuriko mchana kutwa, Yamenisonga kwa kila upande. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja. Biblia Habari Njema - BHND Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yananizunguka kama mafuriko mchana kutwa; yananizingira yote kwa pamoja. Neno: Bibilia Takatifu Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa. Neno: Maandiko Matakatifu Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa. BIBLIA KISWAHILI Yamenizunguka kama mafuriko mchana kutwa, Yamenisonga kwa kila upande. |
Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenidunga mikono na miguu.
Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maporomoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu.
Wakuu wa Yuda ni kama watu waondoao alama ya mpaka; nitawamwagia ghadhabu yangu kama maji.