Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Zaburi 83:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Uwatende kama ulivyowatenda Midiani, Sisera, Na Yabini, penye kijito cha Kishoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni, Biblia Habari Njema - BHND Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni, Neno: Bibilia Takatifu Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni, Neno: Maandiko Matakatifu Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni, BIBLIA KISWAHILI Uwatende kama ulivyowatenda Midiani, Sisera, Na Yabini, penye kijito cha Kishoni. |
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.
Na BWANA wa majeshi ataamsha mjeledi juu yake, kama vile alivyopiga Midiani karibu na jabali la Orebu; na fimbo yake itakuwa juu ya bahari, naye ataiinua kama walivyofanya Wamisri.
Kwa maana umeivunja nira ya mzigo wake, na gongo la bega lake, na fimbo yake yeye aliyemwonea, kama katika siku ya Midiani.
Nami nitakuvutia Sisera, kamanda wa jeshi la Yabini, hadi mto wa Kishoni, pamoja na magari yake, na wingi wa watu wake; nami nitamtia mkononi mwako.
Mto ule wa Kishoni uliwachukua, Ule mto wa zamani, mto wa Kishoni. Ee roho yangu, endelea mbele kwa nguvu.