Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Zaburi 83:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata Ashuru imeshirikiana nao, imewaunga mkono wazawa wa Loti! Biblia Habari Njema - BHND Hata Ashuru imeshirikiana nao, imewaunga mkono wazawa wa Loti! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata Ashuru imeshirikiana nao, imewaunga mkono wazawa wa Loti! Neno: Bibilia Takatifu Hata Ashuru wameungana nao kuwapa nguvu wazao wa Lutu. Neno: Maandiko Matakatifu Hata Ashuru wameungana nao kuwapa nguvu wazao wa Lutu. BIBLIA KISWAHILI Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu. |
Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Yokshani akamzaa Sheba, na Dedani; na wana wa Dedani walikuwa Waashuri na Waletushi, na Waleumi.
Akaja Pulu mfalme wa Ashuru juu ya nchi; naye Menahemu akampa Pulu talanta elfu moja za fedha, ili kwamba mkono wake uwe pamoja naye, na ufalme uwe imara mkononi mwake.
Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asububi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.
Wazee wa Gebali na wenye akili wake walikuwa ndani yako, wenye kutia kalafati; merikebu zote za bahari na mabaharia wao walikuwa ndani yako, ili kubadiliana biashara yako.
BWANA akaniambia, Usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.