Huotea faraghani kama simba pangoni, Huotea amkamate mtu mnyonge. Naam, humkamata mtu mnyonge, Na kumkokota akiwa wavuni mwake.
Zaburi 83:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Juu ya watu wako wanafanya hila, Na kushauriana juu yao uliowaficha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanapanga kwa hila kuwadhuru watu wako; wanashauriana dhidi ya hao unaowalinda. Biblia Habari Njema - BHND Wanapanga kwa hila kuwadhuru watu wako; wanashauriana dhidi ya hao unaowalinda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanapanga kwa hila kuwadhuru watu wako; wanashauriana dhidi ya hao unaowalinda. Neno: Bibilia Takatifu Kwa ujanja, wanapanga njama dhidi ya watu wako; wanapanga hila dhidi ya wale unaowapenda. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. BIBLIA KISWAHILI Juu ya watu wako wanafanya hila, Na kushauriana juu yao uliowaficha. |
Huotea faraghani kama simba pangoni, Huotea amkamate mtu mnyonge. Naam, humkamata mtu mnyonge, Na kumkokota akiwa wavuni mwake.
Maana atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba.
Utawasitiri kutoka kwa fitina za watu Katika maficho ya kuwapo kwako; Utawaficha katika hema Na ushindani wa ndimi.
Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
Basi, hakukuwa mhunzi yeyote katika nchi yote ya Israeli; kwa kuwa Wafilisti walisema, Waebrania wasije wakajitengenezea panga au mikuki;