Ee BWANA, nitakuita Ewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu kama kiziwi. Nisije nikafanana nao washukao shimoni, Ikiwa umeninyamalia.
Zaburi 83:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! Biblia Habari Njema - BHND Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu, usikae kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usikae mbali. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu, usinyamaze kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. BIBLIA KISWAHILI Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie. |
Ee BWANA, nitakuita Ewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu kama kiziwi. Nisije nikafanana nao washukao shimoni, Ikiwa umeninyamalia.
Mungu wetu atakuja wala sio kimya kimya, Moto utakula mbele zake, na tufani yavuma sana ikimzunguka pande zote.
Siku nyingi nimenyamaza kimya; nimenyamaza, nikajizuia; sasa nitapiga kelele kama mwanamke aliye katika kuzaa; nitaugua na kutweta pamoja.