Zaburi 82:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.” Biblia Habari Njema - BHND Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.” BIBLIA KISWAHILI Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu. |
Je! Utazidi kusema mbele yake huyo akuuaye, Mimi ni mungu? Lakini u mwanadamu, wala si Mungu, mkononi mwake akutiaye jeraha.
ili mti wowote, ulio karibu na maji, usijitukuze kwa sababu ya kimo chake, wala usitie kilele chake kati ya mawingu, wala mashujaa wake wasisimame katika kimo chao kirefu, naam, wote wanywao maji; maana wote wametolewa wafe, waende pande za chini za nchi, kati ya wanadamu, pamoja nao washukao shimoni.