Kwa sababu nilimwokoa maskini aliyenililia; Yatima naye, na yule asiyekuwa na mtu wa kumsaidia.
Zaburi 82:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu. Biblia Habari Njema - BHND Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu. Neno: Bibilia Takatifu Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. Neno: Maandiko Matakatifu Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. BIBLIA KISWAHILI Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu. |
Kwa sababu nilimwokoa maskini aliyenililia; Yatima naye, na yule asiyekuwa na mtu wa kumsaidia.
BWANA asema hivi, Fanyeni hukumu na haki, mkamtoe yeye aliyetekwa katika mikono ya mdhalimu; wala msiwatende mabaya mgeni, wala yatima, wala mjane, wala kuwadhulumu, wala msimwage damu ya mtu asiye na hatia katika mahali hapa.