Wakati hatua zangu zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali liliponimiminia mito ya mafuta!
Zaburi 81:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naam, ningewalisha kwa ngano iliyo bora zaidi, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wewe ningekulisha kwa ngano bora, ningekushibisha kwa asali ya mwambani.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini wewe ningekulisha kwa ngano bora, ningekushibisha kwa asali ya mwambani.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wewe ningekulisha kwa ngano bora, ningekushibisha kwa asali ya mwambani.” Neno: Bibilia Takatifu Bali ninyi mngelishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali inayotoka kwenye mwamba.” Neno: Maandiko Matakatifu Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.” BIBLIA KISWAHILI Naam, ningewalisha kwa ngano iliyo bora zaidi, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani. |
Wakati hatua zangu zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali liliponimiminia mito ya mafuta!
Laiti wangekuwa na moyo kama huu ndani yao sikuzote, wa kunicha, na kushika amri zangu zote sikuzote, wapate kufanikiwa wao na watoto wao milele!
Nao watu wa mji wakamwambia siku ya saba kabla ya jua kuchwa, Ni kitu gani kilicho tamu kuliko asali? Ni kitu gani kilicho na nguvu kuliko simba? Naye akawaambia, Msingelima na mtamba wangu, Hamngekitegua kitendawili changu.