Zaburi 80:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee BWANA, Mungu wa majeshi, hadi lini Utayaghadhibikia maombi ya watu wako? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, hata lini utazikasirikia sala za watu wako? Biblia Habari Njema - BHND Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, hata lini utazikasirikia sala za watu wako? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, hata lini utazikasirikia sala za watu wako? Neno: Bibilia Takatifu Ee Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, hata lini hasira yako itawaka dhidi ya maombi ya watu wako? Neno: Maandiko Matakatifu Ee bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi dhidi ya maombi ya watu wako? BIBLIA KISWAHILI Ee BWANA, Mungu wa majeshi, hadi lini Utayaghadhibikia maombi ya watu wako? |
Na Wewe, BWANA, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, uinuke. Uwapatilize mataifa yote; Usimrehemu hata mmoja wa wale wapangao maovu kwa hila.
Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?
Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana.
BWANA hatamsamehe mtu huyo, lakini wakati huo hasira ya BWANA na wivu wake vitafuka moshi juu ya mtu yule, na laana yote iliyoandikwa katika kitabu hiki itamkalia juu yake, na BWANA atalifuta jina lake chini ya mbingu.