Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Zaburi 80:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mkono wako na uwe juu yake Mtu aliye katika mkono wako wa kulia; Juu ya mwanadamu uliyeimarisha Kwa nafsi yako; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako. Biblia Habari Njema - BHND Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako. Neno: Bibilia Takatifu Mkono wako na utulie juu ya mtu aliye katika mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. BIBLIA KISWAHILI Mkono wako na uwe juu yake Mtu aliye katika mkono wako wa kulia; Juu ya mwanadamu uliyemfanya kuwa imara, Kwa nafsi yako; |
Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Na mche ule ulioupanda Kwa mkono wako wa kulia; Na tawi lile ulilolifanya Kuwa imara kwa nafsi yako.
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
BWANA alikuita jina lako, Mzeituni wenye majani mabichi, mzuri, wenye matunda mema; kwa kelele za mshindo mkuu amewasha moto juu yake, na matawi yake yamevunjika.
uiambie nchi ya Israeli, BWANA asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, nami nitautoa upanga wangu alani, nami nitamkatilia mbali nawe mtu mwenye haki na mtu mbaya.