Zaburi 80:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, Matawi yake ni kama mierezi ya Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa. Biblia Habari Njema - BHND Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa. Neno: Bibilia Takatifu Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa. Neno: Maandiko Matakatifu Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa. BIBLIA KISWAHILI Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, Matawi yake ni kama mierezi ya Mungu. |
Nikatuma nyigu mbele yenu, waliowafukuza mbele yenu hao wafalme wawili wa Waamori, si kwa upanga wako, wala kwa upinde wako.