Zaburi 8:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote! Biblia Habari Njema - BHND Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote! Neno: Bibilia Takatifu Ee Mwenyezi Mungu, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote! Neno: Maandiko Matakatifu Ee bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote! BIBLIA KISWAHILI Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote! |
Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.
Ee, MUNGU, Bwana wetu Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote! Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni;
Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni, Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie. Na juu ya mawingu katika utukufu wake.