Zaburi 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ndege, samaki, na viumbe vyote vya baharini. Biblia Habari Njema - BHND ndege, samaki, na viumbe vyote vya baharini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ndege, samaki, na viumbe vyote vya baharini. Neno: Bibilia Takatifu ndege wa angani na samaki wa baharini, naam, kila kinachoogelea katika njia za bahari. Neno: Maandiko Matakatifu ndege wa angani na samaki wa baharini, naam, kila kiogeleacho katika njia za bahari. BIBLIA KISWAHILI Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini. |