Zaburi 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mtu ni nini, ee Mungu, hata umfikirie, binadamu ni nini hata umjali? Biblia Habari Njema - BHND mtu ni nini, ee Mungu, hata umfikirie, binadamu ni nini hata umjali? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mtu ni nini, ee Mungu, hata umfikirie, binadamu ni nini hata umjali? Neno: Bibilia Takatifu mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali? Neno: Maandiko Matakatifu mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali? BIBLIA KISWAHILI Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie? |
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya kuonesha majira, siku na miaka;
Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
Lakini Mungu je! Yamkini atakaa na watu duniani? Tazama, mbingu na mbingu za mbingu za mbingu hazikutoshi; seuze nyumba hii niliyoijenga!
Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali ulicho nacho kwa watu wako. Unijie kwa wokovu wako,
Enyi wanadamu, hadi lini utukufu wangu utafedheheka? Je! Mtapenda ubatili na kutafuta uongo hadi lini?
Mkono wako na uwe juu yake Mtu aliye katika mkono wako wa kulia; Juu ya mwanadamu uliyeimarisha Kwa nafsi yako;
Watu wakaamini, na waliposikia ya kuwa BWANA amewajia wana wa Israeli, na ya kuwa ameyaona mateso yao, wakainamisha vichwa vyao wakasujudu.
Mimi, naam, mimi, ndimi niwafarijiye; wewe u nani hata ukamwogopa mtu atakayekufa, na mwanadamu atakayefanywa kuwa kama majani?
Yesu akamwambia, Mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota; lakini Mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake.
watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiwa kwako.
Muwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.