Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Zaburi 79:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele; Tutazisimulia sifa zako kizazi hadi kizazi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nasi watu wako, tulio kondoo wa kundi lako, tutakushukuru milele, na kukusifu nyakati zote. Biblia Habari Njema - BHND Nasi watu wako, tulio kondoo wa kundi lako, tutakushukuru milele, na kukusifu nyakati zote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nasi watu wako, tulio kondoo wa kundi lako, tutakushukuru milele, na kukusifu nyakati zote. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, tutakusifu milele; tutasimulia sifa zako kizazi hadi kizazi. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, tutakusifu milele; toka kizazi hadi kizazi tutasimulia sifa zako. BIBLIA KISWAHILI Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele; Tutazisimulia sifa zako kizazi hadi kizazi. |
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Jina lako nitalifanya kuwa kumbukumbu Katika vizazi vyote. Kwa hiyo mataifa watakushukuru Milele na milele.
Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?
Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!