Zaburi 79:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi waliohukumiwa kufa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kilio cha hao wafungwa kikufikie; kwa nguvu yako kuu uwaokoe waliohukumiwa kufa. Biblia Habari Njema - BHND Kilio cha hao wafungwa kikufikie; kwa nguvu yako kuu uwaokoe waliohukumiwa kufa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kilio cha hao wafungwa kikufikie; kwa nguvu yako kuu uwaokoe waliohukumiwa kufa. Neno: Bibilia Takatifu Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; kwa nguvu za mkono wako hifadhi wale waliohukumiwa kufa. Neno: Maandiko Matakatifu Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; kwa nguvu za mkono wako hifadhi wale waliohukumiwa kufa. BIBLIA KISWAHILI Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi waliohukumiwa kufa. |
Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema BWANA, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.
Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asububi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.
kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu;