Zaburi 78:66 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawapiga watesi wake akawarudisha nyuma, Akawatia aibu ya milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akawatimua maadui zake; akawatia aibu ya kudumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Akawatimua maadui zake; akawatia aibu ya kudumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akawatimua maadui zake; akawatia aibu ya kudumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Aliwapiga na kuwashinda adui zake, akawatia katika aibu ya milele. Neno: Maandiko Matakatifu Aliwapiga na kuwashinda adui zake, akawatia katika aibu ya milele. BIBLIA KISWAHILI Akawapiga watesi wake akawarudisha nyuma, Akawatia aibu ya milele. |
Lakini mkono wa BWANA ulikuwa mzito juu ya watu wa Ashdodi, akawaangamiza, akawapiga kwa majipu, huko Ashdodi na mipakani mwake.
Ndipo wakauliza, Na hayo matoleo ya kosa tutakayompelekea, yatakuwa ya namna gani? Na yawe majipu ya dhahabu matano, na panya wa dhahabu watano, sawasawa na idadi ya wakuu wa Wafilisti; kwa kuwa tauni moja ilikuwa juu yenu nyote, na juu ya wakuu wenu.
Hata Samweli alipokuwa akiitoa hiyo sadaka ya kuteketezwa, Wafilisti wakakaribia ili kupigana na Israeli; lakini BWANA akapiga ngurumo, mshindo mkubwa sana, juu ya Wafilisti siku ile, akawafadhaisha; nao wakaangamizwa mbele ya Israeli.