Zaburi 78:65 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Bwana alipoamka kama aliyelala usingizi, Kama shujaa apigaye kelele kwa sababu ya mvinyo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Bwana aliamka kama kutoka usingizini, kama shujaa aliyechangamshwa na divai. Biblia Habari Njema - BHND Kisha Bwana aliamka kama kutoka usingizini, kama shujaa aliyechangamshwa na divai. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Bwana aliamka kama kutoka usingizini, kama shujaa aliyechangamshwa na divai. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Bwana alipoamka kama kuamka usingizini, kama shujaa anavyoamka kutoka bumbuazi la mvinyo. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Bwana alipoamka kama vile kuamka usingizini, kama vile mtu aamkavyo kutoka kwenye bumbuazi la mvinyo. BIBLIA KISWAHILI Ndipo Bwana alipoamka kama aliyelala usingizi, Kama shujaa apigaye kelele kwa sababu ya mvinyo; |
BWANA uondoke kwa hasira yako; Ujiinue Juu ya ujeuri wa watesi wangu; Uamke kwa ajili yangu; Umeamuru hukumu.
Amka, amka, jivike nguvu, Ee mkono wa Bwana; Amka kama katika siku zile za kale, Katika vizazi vile vya zamani.
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba.