Zaburi 78:53 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hao akawachukua salama wala hawakuogopa, Bali bahari iliwafunika adui zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliwaogoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika maadui zao. Biblia Habari Njema - BHND Aliwaogoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika maadui zao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliwaogoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika maadui zao. Neno: Bibilia Takatifu Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao. Neno: Maandiko Matakatifu Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao. BIBLIA KISWAHILI Hao akawachukua salama wala hawakuogopa, Bali bahari iliwafunika adui zao. |
Akamwangusha Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Kwa imani wakapita kati ya Bahari ya Shamu, kama katika nchi kavu; Wamisri walipojaribu kufanya vivyo wakatoswa.