Nao wakafanya hivyo; Haruni akaunyosha mkono wake na fimbo yake, na kuyapiga mavumbi ya nchi, nayo yakawa chawa juu ya wanadamu na juu ya wanyama; mavumbi yote ya nchi yakawa ni chawa katika nchi yote ya Misri.
Zaburi 78:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Aliwapelekea mainzi wakawala, Na vyura wakawaharibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliwapelekea makundi ya nzi waliowasumbua, na vyura waliowatia hasara. Biblia Habari Njema - BHND Aliwapelekea makundi ya nzi waliowasumbua, na vyura waliowatia hasara. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliwapelekea makundi ya nzi waliowasumbua, na vyura waliowatia hasara. Neno: Bibilia Takatifu Aliwapelekea makundi ya inzi wakawala, na vyura wakawaharibu. Neno: Maandiko Matakatifu Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, na vyura wakawaharibu. BIBLIA KISWAHILI Aliwapelekea mainzi wakawala, Na vyura wakawaharibu. |
Nao wakafanya hivyo; Haruni akaunyosha mkono wake na fimbo yake, na kuyapiga mavumbi ya nchi, nayo yakawa chawa juu ya wanadamu na juu ya wanyama; mavumbi yote ya nchi yakawa ni chawa katika nchi yote ya Misri.
BWANA akamwambia Musa, Inuka asubuhi na mapema usimame mbele ya Farao; angalia! Atoka aende majini; kamwambie, BWANA asema, Wape watu wangu ruhusa waende zao, ili wanitumikie mimi.
Na huyo wa pili akalimimina bakuli lake juu ya bahari, ikawa damu, kama damu ya maiti, na vitu vyote vyenye roho ya uhai katika bahari vikafa.