Ni nani uliyemshutumu na kumtukana? Umeinua sauti yako juu ya nani, na kuinua macho yako juu? Juu ya Mtakatifu wa Israeli.
Zaburi 78:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakamjaribu Mungu tena na tena; Na kumkasirisha Mtakatifu wa Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walimjaribu Mungu tena na tena, wakamkasirisha huyo Mtakatifu wa Israeli. Biblia Habari Njema - BHND Walimjaribu Mungu tena na tena, wakamkasirisha huyo Mtakatifu wa Israeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walimjaribu Mungu tena na tena, wakamkasirisha huyo Mtakatifu wa Israeli. Neno: Bibilia Takatifu Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. BIBLIA KISWAHILI Wakamjaribu Mungu tena na tena; Na kumkasirisha Mtakatifu wa Israeli. |
Ni nani uliyemshutumu na kumtukana? Umeinua sauti yako juu ya nani, na kuinua macho yako juu? Juu ya Mtakatifu wa Israeli.
Ole wake, taifa lenye dhambi, watu wanaochukua mzigo wa uovu, wazao wa watenda mabaya, watoto wanaoharibu; wamemwacha BWANA, wamemdharau yeye aliye Mtakatifu wa Israeli, wamefarakana naye na kurudi nyuma.
kwa sababu watu hawa wote, ambao wameuona utukufu wangu na ishara zangu, nilizozitenda huko Misri, na huko jangwani, pamoja na haya wamenijaribu mara hizi kumi, wala hawakuisikiza sauti yangu;
Mtu huyo baba zetu hawakutaka kumtii, bali wakamsukumia mbali, na kwa mioyo yao wakarejea Misri,