Zaburi 78:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Pamoja na hayo wakazidi kutenda dhambi, Wala hawakuyaamini matendo yake ya ajabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata hivyo waliendelea kumkosea Mungu; ijapokuwa alitenda maajabu, hawakuamini. Biblia Habari Njema - BHND Hata hivyo waliendelea kumkosea Mungu; ijapokuwa alitenda maajabu, hawakuamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata hivyo waliendelea kumkosea Mungu; ijapokuwa alitenda maajabu, hawakuamini. Neno: Bibilia Takatifu Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, licha ya maajabu yake, hawakuamini. Neno: Maandiko Matakatifu Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, licha ya maajabu yake, hawakuamini. BIBLIA KISWAHILI Pamoja na hayo wakazidi kutenda dhambi, Wala hawakuyaamini matendo yake ya ajabu. |
Lakini nyumba ya Israeli waliniasi jangwani; hawakuenda katika amri zangu, wakazikataa hukumu zangu, ambazo mwanadamu ataishi kwazo, kama akizitenda; na sabato zangu walizitia unajisi sana; ndipo nikasema, Nitamwaga hasira yangu juu yao jangwani, ili niwaangamize.
Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishika hata mtu akifufuka katika wafu.