Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.
Zaburi 78:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwanadamu akala chakula walacho malaika; Akawapelekea chakula cha kuwashibisha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha. Biblia Habari Njema - BHND Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha. Neno: Bibilia Takatifu Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeweza kula. Neno: Maandiko Matakatifu Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula. BIBLIA KISWAHILI Mwanadamu akala chakula walacho malaika; Akawapelekea chakula cha kuwashibisha. |
Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.
Musa akasema, Ndilo litakalokuwa, hapo BWANA atakapowapa nyama wakati wa jioni mle, na asubuhi mikate hata mkakinai; kwa kuwa BWANA asikia manung'uniko yenu mliyomnung'unikia yeye; na sisi tu nani? Manung'uniko yenu hayakuwa juu yetu sisi, ila juu ya BWANA.
Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.