Zaburi 77:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, hasira yake imeuondoa upole wake?” Biblia Habari Njema - BHND Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, hasira yake imeuondoa upole wake?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, hasira yake imeuondoa upole wake?” Neno: Bibilia Takatifu Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia fadhili zake?” Neno: Maandiko Matakatifu Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia huruma yake?” BIBLIA KISWAHILI Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake? |
Ee Mungu, unirehemu, kulingana na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?
Tazama toka mbinguni, ukaone toka makao ya utukufu wako na fahari yako; uko wapi wivu wako, na uweza wako? Shauku ya moyo wako, na huruma zako zimezuiliwa kwangu.
Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalitimiza?
Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia, kisha akamwona ndugu yake ni mhitaji, akamzuilia huruma zake, je! Upendo wa Mungu wakaaje ndani yake huyo?