Zaburi 77:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Bwana atatutupa milele na milele? Asiwe na fadhili kwetu kamwe? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Je, Bwana ametuacha kabisa? Je, hatatuonesha tena hisani yake? Biblia Habari Njema - BHND “Je, Bwana ametuacha kabisa? Je, hatatuonesha tena hisani yake? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Je, Bwana ametuacha kabisa? Je, hatatuonesha tena hisani yake? Neno: Bibilia Takatifu “Je, Bwana atakataa milele? Je, hatatenda mema tena? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, Bwana atakataa milele? Je, hatatenda mema tena? BIBLIA KISWAHILI Je! Bwana atatutupa milele na milele? Asiwe na fadhili kwetu kamwe? |
Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?