Wa Yeduthuni; wana wa Yeduthuni; Gedalia, na Seri, na Yeshaya, na Hashabia, na Matithia, [na Shimei], watu sita; walioamriwa na baba yao Yeduthuni mwenye kinubi, aliyetabiri katika kumshukuru na kumsifu BWANA.
Zaburi 77:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie. Biblia Habari Njema - BHND Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie. Neno: Bibilia Takatifu Nilimlilia Mungu ili anisaidie, nilimlilia Mungu ili anisikie. Neno: Maandiko Matakatifu Nilimlilia Mungu ili anisaidie, nilimlilia Mungu ili anisikie. BIBLIA KISWAHILI Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia. |
Wa Yeduthuni; wana wa Yeduthuni; Gedalia, na Seri, na Yeshaya, na Hashabia, na Matithia, [na Shimei], watu sita; walioamriwa na baba yao Yeduthuni mwenye kinubi, aliyetabiri katika kumshukuru na kumsifu BWANA.
Hao wote waliamriwa na baba yao, waimbe nyumbani mwa BWANA, wakiwa na matoazi, vinanda, na vinubi, kwa utumishi wa nyumba ya Mungu; Asafu, Yeduthuni, na Hemani wakiwa wanaamriwa na mfalme.
Nilisema, Nitazitunza njia zangu Nisije nikakosa kwa ulimi wangu; Nitajitia lijamu kinywani, Maadamu mtu mbaya awapo mbele yangu.