Zaburi 76:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wewe, ee Mungu, watukuka mno; umejaa fahari kuliko milima ya milele. Biblia Habari Njema - BHND Wewe, ee Mungu, watukuka mno; umejaa fahari kuliko milima ya milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wewe, ee Mungu, watukuka mno; umejaa fahari kuliko milima ya milele. Neno: Bibilia Takatifu Wewe unang’aa kwa mwanga, mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori. Neno: Maandiko Matakatifu Wewe unang’aa kwa mwanga, mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori. BIBLIA KISWAHILI Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka. |
Simba ametoka katika kichaka chake, ndiye aangamizaye mataifa; ameanza kushika njia, ametoka katika mahali pake; ili aifanye nchi yako kuwa ukiwa, miji yako ifanywe maganjo, asibaki mwenyeji ndani yake.
Naye akaenda huku na huko kati ya simba, akawa mwanasimba, akajifunza kuwinda mawindo, akala watu.
nami nitaupiga upinde wako, utoke katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako nitaiangusha, itoke katika mkono wako wa kulia.