Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Zaburi 76:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, upanga, na zana za vita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huko alivunja mishale ya adui; alivunja ngao, panga na silaha za vita. Biblia Habari Njema - BHND Huko alivunja mishale ya adui; alivunja ngao, panga na silaha za vita. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huko alivunja mishale ya adui; alivunja ngao, panga na silaha za vita. Neno: Bibilia Takatifu Huko alivunja mishale iliyowaka, ngao na panga, silaha za vita. Neno: Maandiko Matakatifu Huko alivunja mishale imetametayo, ngao na panga, silaha za vita. BIBLIA KISWAHILI Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, upanga, na zana za vita. |
Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Nao Yehoshafati na watu wake walipokuja kuchukua nyara zao, wakakuta miongoni mwao mifugo wengi sana, mali, mavazi na vitu vya thamani, walivyojinyakulia, zaidi kuliko wawezavyo kuchukua; wakawa siku tatu katika kuteka nyara, maana zilikuwa nyingi sana.
Naye BWANA akatuma malaika aliyewakatia mbali wapiganaji vita wote, na majemadari, na makamanda, kambini mwa mfalme wa Ashuru. Basi akarudia nchi yake kwa aibu. Naye alipoingia nyumbani mwa mungu wake, baadhi ya wanawe mwenyewe wakamwangamiza humo kwa upanga.