Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo.
Zaburi 76:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ghadhabu ya watu husababisha tu sifa kwako; na waliookoka vitani watafanya sikukuu zako. Biblia Habari Njema - BHND Ghadhabu ya watu husababisha tu sifa kwako; na waliookoka vitani watafanya sikukuu zako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ghadhabu ya watu husababisha tu sifa kwako; na waliookoka vitani watafanya sikukuu zako. Neno: Bibilia Takatifu Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi. Neno: Maandiko Matakatifu Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi. BIBLIA KISWAHILI Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi. |
Nanyi kweli mlinikusudia mabaya, bali Mungu aliyakusudia kuwa mema, ili itokee kuokoa taifa kubwa, kama ilivyo leo.
Maneno ya BWANA ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba.
Sasa najua ya kuwa BWANA ni mkuu kuliko miungu yote; naam, katika jambo hilo walilowatenda kwa ujeuri.
bali kwa haki atawahukumu maskini, naye atawaonya wanyenyekevu wa dunia kwa adili; naye ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, na kwa pumzi ya midomo yake atawaua wabaya.
Na kama siku hizo zisingalifupishwa, asingeokoka mtu yeyote; lakini kwa ajili ya wateule siku hizo zitafupishwa.
Kwa maana Maandiko yasema juu ya Farao, ya kwamba, Nilikusimamisha kwa kusudi hili, ili nioneshe nguvu zangu kwako, jina langu likatangazwe katika nchi yote.
Na mataifa walikasirika, hasira yako nayo ikaja, na wakati ukaja wa kuhukumiwa waliokufa, na wa kuwapa thawabu yao watumishi wako manabii na watakatifu, na hao walichao jina lako, wadogo kwa wakubwa, na wa kuwaharibu hao waiharibuo nchi.