Zaburi 75:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bali mimi nitatangaza matendo yako milele, Nitamwimbia Mungu wa Yakobo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo. Biblia Habari Njema - BHND Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo. Neno: Bibilia Takatifu Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo. Neno: Maandiko Matakatifu Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo. BIBLIA KISWAHILI Bali mimi nitatangaza matendo yako milele, Nitamwimbia Mungu wa Yakobo. |
Sikusitiri haki yako moyoni mwangu; Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha fadhili zako wala kweli yako Katika kusanyiko kubwa.
Ili nizisimulie sifa zako zote; Katika malango ya binti Sayuni Nitaufurahia wokovu wako.
Maana BWANA, Mungu wa Israeli, aniambia hivi, Pokea kikombe cha divai ya ghadhabu hii mkononi mwangu, ukawanyweshe mataifa yote, ambao nitakupeleka kwao;
Naam, utakinywea hata hakitabaki kitu ndani yake, utavitafuna vigae vyake, utayararua maziwa yako; maana mimi, Bwana MUNGU, nimenena neno hili.