Zaburi 75:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana siko mashariki wala magharibi, Wala nyikani itokako heshima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani. Biblia Habari Njema - BHND Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani. Neno: Bibilia Takatifu Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu. BIBLIA KISWAHILI Maana siko mashariki wala magharibi, Wala nyikani itokako heshima. |
Atawalaye kwa uweza wake milele; Ambaye macho yake yanaangalia mataifa; Hebu wanaoasi wasijitukuze nafsi zao.
Najua ghadhabu yake, asema BWANA, ya kuwa si kitu; majisifu yake hayakutenda neno lolote.